YOUNG KILLER ATAKA KUANDIKIWA NYIMBO.

0

Rapa Young Killer amefungua milango kwa mwandishi yeyote mwenye uwezo level zake kumwandikia wimbo.

Aidha Young Killer anasema anakaribisha producer yeyote mchanga mwenye uwezo wa kutengeneza midundo mikali.

download (12)

Young Killer anasema huu ndio muda muafaka kwa kuwa hakuwahi kuandikiwa nyimbo hapo kabla na mashabiki tayari wamesha ufahamu uwezo wake mkubwa alionao kwenye sanaa.

“Nishaonyesha uwezo mkubwa na sikuwahi kuandikiwa nyimbo hata siku moja toka nimeanza, sasa nafungua dirisha la usajili kwa yeyote anayetaka kuniandikia ngoma kali na pia nakaribisha maproducer hata akiwa mchanga” Rapa Young Killer amesema.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar