YAMOTO BAND WAZUNGUMZIA UHUSIANO WAO NA RUBY

0

Yamoto Band wanasema hawana tatizo na msanii Ruby licha ya yeye kutoonekana kwenye video ya wimbo waliomshirikisha kwa jina “Su”.

Akizungumzia issue hii, Maromboso na Aslay ambao ni kati ya wanakundi la Yamto Band wamesema Kila kitu kiko sawa, hakuna utofauti wowote baina yao na Ruby.

download (16)

Vijana wanasema Ruby mwenyewe bado ana’post na kuimba wimbo wao ikiwa ni inshara kamili kwamba hakuna kitu kilichoharibika.

Awali ilisemekana kuwa Ruby aliwaletea mapozi Yamoto Band alipotakikana kuonekana kwenye video huku Ruby nae akijibu kuwa Yamoto band ndio waliokua na makosa.

 

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || SPIZZO, BANDANAH & KFORCE – TOTO

<<DOWNLOAD/LISTEN NEW AUDIO HIT> ARTIST :Spizzo, Bandanah & K Force – Toto: Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy ...
Skip to toolbar