WCB WAANZA KUTOA ADHABU HIZI KWA WASANII WAO

0

Label kubwa na maarufu bongo Iliyochini ya Diamond Platnumz,inayosimamia wasanii kama Harmonize, Raymond, Queen Darlin na  Rich Mvoko imetoa onyo kalikwa wasanii wake.

Mmoja kati ya viongozi wa label hiyo, Babu Tale amesema label hiyo itasimama kidete kuhakikisha wasanii wa WCB wanakuwa mfano wa kuigwa katika jamii.

“Sitaki kumsifia Diamond lakini ukweli ni kwamaba ni mtu ambaye hana nidhamu ya kuigiza, kwa hiyo hawa wengine lazima wafuate tabia za kaka yao” alisema Babu Tale.

Tale amefichua kuwa hawatasita kumchukulia msanii yeyote hatua za kinidhamu iwapo atatukana kwenye social network ama kwenye stage.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar