Vilabu vya EPL kutoongeza bei ya tiketi

0

Vilabu vinavoshirikia katika ligi kuu nchini Uingereza, vimekubaliana kutoongeza bei ya tiketi kwa mechi za ligi kuu Uingereza, katika kipindi cha misimu mitatu ijayo.

Kulingana na taarifa kutoka vilabu hivyo 20, kuanzia msimu ujao hakutakua na ongezeko la bei katika tiketi za mechi za ligi kuu uingereza ilikuboresha nafasi ya ligi hiyo miongoni mwa ligi zengine barani Uropa.

Vilabu hivyo vinasema vimetilia maanani swala kwamba mashabiki wa ugeneni hulipa zaidi kutokana na gharama ya kusafiri.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar