UTAFITI: WANAUME HUPOTEZA UWEZO WA KIAKILI WANAPOZUNGUMZA NA WAREMBO

0

Utafiti mmoja wa kisayansi umebaini kwamba wanaume hupoteza uwezo wao wa kiakili, wakati wowote wanapozungumza na wasichana wazuri kupitiliza.

Katika utafiti huo ulifanywa na Dr.George Fieldman mwanachama wa muungano wa wanasaikolojia nchini Uingereza, ulibaini kwamba mwanamume hupunguza uwezo wake wa kufanya kazi yoyote anapojishughulisha na wanawake walio warembo sana.

Utafiti huo umeeleza kuwa mwanamume hutumia nguvu nyingi akijaribu kumfurahisha msichana mrembo anayemzuzua na kupunguza uwezo wake wa kufanya kazi na majukumu aliyopewa wakati ule.

Utafiti huu ulifanywa baadaa ya mwanasaikolojia mmoja nchini Uholanzi katika chuo cha Radboud University kugundua alisahau kujieleza alipokua anaishi baada ya kuulizwa na mrembo flani aliyekua anajaribu sana kumnasa kimapenzi.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

DAVIDO AKUBALI KUMFANYIA HILI SHABIKI WAKE.

Msanii David Adeleke a.k.a Davido kutoka nchini Nigeria, amekubali kukutana na shabiki mmoja, ambaye siku chache zilizopita alitishia kujitoa uhai. Shabiki huyu alitangaza atajiua ikifka ...
Skip to toolbar