UJUMBE WA MORBIZ KWA MASHABIKI PWANI

0

Producer mkongwe katika tasnia ya mziki wa kizazi kipya pwani Morbiz a.k.a Sherrif kutoka Thunder Sound Records Likoni anawataka mashabiki pwani kupenda vya kwao zaidi.

Morbiz ametaja teknolojia na utanda wazi kama moja wapo ya mambo yanayotoa changamoto kwa ukuaji wa tasnia ya mziki wa kizazi kipya pwani.

IMG_20160729_102301

Morbiz anasema iwapo ikiwa mashabiki watajivunia mziki wa nyumbani zaidi na kuacha kuulinganisha na ule wakimataifa, mziki wa pwani utapata nafasi ya kukua kwa kasi.

Morbiz amepiga mifano ya mataifa jirani ambayo mashabiki wameganda zaidi katika kuskiza mziki wa kwao licha ya mziki huo kuwa wa viwango vya chini ukilinganishwa na mataifa mengine.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar