TOTTI AFICHUA MIPANGO YAKE YA KIMZIKI.

0

Baada ya kumaliza Media Tour yake jijini Nairobi, msanii Totti kutoka hapa pwani anawataka mashabiki wake kutarajia mazuri zaidi.

Akizungumza jijini Nairobi, Totti amesema ana mipango kabambe ambayo huenda ikabadilisha safari yake ya kimziki na kukuza jina lake kama msanii.

totti

Totti ambaye karibuni aliachia video ya wimbo wake kwa jina  “Kasaga” anasema video hiyo imemfungulia njia nyingi mbali na kupokea offer za collabo na wasanii kadhaa wakubwa kutoka jijini Nairobi na katika ngazi za kimataifa.

Totti amewashukuru mashabiki kutoka ukanda wa pwani kwa kukubali kazi zake jambo alilolitaja mojawapo ya sasabu kuu zilizopelekea media tour yake jijini Nairobi kuzaa matunda zaidi ya alivyotarajia.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar