STAA WA NIGERIA AAPA KUTOLIPA MSANII KUPATA KOLABO ZA KIMATAIFA

0

Msanii mkubwa kutoka Nigeria Olamide ameapa kwamba hatalipa pesa msanii mwengine ili apate collabo za kimataifa.

Olamide amesema hatowahi kulipia collabo za kimataifa na kwamba ataendelea kufanya kazi zake nzuri, kwani pia zinauwezo wa kumpeleka juu kimziki.

Olamide-2

Olamide amepiga mfano wa mwanamziki mashuhuri ulimwenguni  mfalme wa mziki wa Afrobeat Fela Kuti ambaye amevuma ulimwenguni licha ya kutofanya kolabo na wasanii wengine wakubwa ulimwenguni.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

HARMONIZE AKOSANA NA MENEJA WAKE.

Taarifa za punde nchini Tanzania zinaeleza kuwa msanii Rajabu Abdul Kahali maarufu kwa jina Harmonize, amekosana na meneja wake anaefahamika zaidi kwa jina Mr. Puaz. ...
Skip to toolbar