SAUTI SOL WAZUNGUMZIA SWALA LA ELIMU AFRIKA MASHARIKI

0

Kundi la Sauti Sol linazitaka serikali za Afrika Mashariki kuboresha mifumo ya elimu katika nchi zao, ili kuweza kusaidia vijana kupenda wanachokifanya.

Sauti Sol wanasema mfumo wa elimu uliopo kwa sasa kwenye mataifa mengi ya kanda ya Afrika Mashariki inachangia wanafunzi kutopenda shule na kufanya matukio mabaya kama kuchoma moto shule.

download (3)

Sauti Sol wanasema mfumo wa elimu uliopo kwa sasa umebagua baadhi ya masomo ikiwemo yale ya sanaa kwa kutoyapa kipaumbele na kupelekea jamii kutoona sanaa kama kazi ya kuaminika.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar