RAPPER JOE BUDDEN AFANYA HIVI NA KUANZISHA UGOMVI BAINA YA DRAKE NA DIDDY.

0

Rapper Joe Budden amedai Drake amemchana Diddy kwenye wimbo wake mpya ‘4PM In Calabasas’ kwa kutumia flow za wimbo wa Bad Boy.

Budden ameonekana kumuandama Drake tangu alipoachia albamu yake ya ‘Views’.

drake-diddy

Budden ameweka wazi madai haya Kupitia akaunti yake ya Twitter,

Itakumbukwa kwamba Drake aliwahi kuwa kwenye bifu na Diddy hata hivyo mwaka 2015 wawili hao walipatana.

Mpaka sasa Diddyhajatoa kauli yake kuhusu story hii.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

EDDY KENZO ASEMA HAOGOPI MUSEVENI

Msanii wa mziki nchini Uganda Idrisa Musuuza aka Eddy Kenzo, amesema haogopi kusema ukweli kuwa wananchi ndio wenye nguvu kushinda serikali. Katika interview moja ya ...
Skip to toolbar