RAPPER ACHORA TATOO YA JINA LA MUHAMMAD ALI KIFUANI KWAKE. JE NI NANI?

0

Our Rating

0

Rapper mkongwe kutoka Marekani, Sean Combs maarufu kama Diddy amechora kifuani tattoo ya jina la aliyekuwa bingwa wa dunia katika ndondi Mohammad Ali.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Diddy amepost picha inayoonyesha akiwa amechora tattoo ya jina la Mohammed Ali .

LAS VEGAS, NV - FEBRUARY 18: (EXCLUSIVE COVERAGE) (L-R) Lonnie Ali, boxing legend Muhammad Ali and recording artist Sean "Diddy" Combs appear onstage during the Keep Memory Alive foundation's "Power of Love Gala" celebrating Muhammad Ali's 70th birthday at the MGM Grand Garden Arena February 18, 2012 in Las Vegas, Nevada. The event benefits the Cleveland Clinic Lou Ruvo Center for Brain Health and the Muhammad Ali Center. (Photo by Ethan Miller/Getty Images for Keep Memory Alive)

Diddy anaelea kwamba kila tattoo katika mwili wake ina maana flani na kwamba alifanya uamuzi huo kutokana na jinsi anavyomkubali Ali.

Muhammad Ali alifariki majuzi Juni 4 mwaka huu alipokua  akitibiwa kutokana na matatizo ya kupumua.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

NGUNASH APATA KIDUME KIPYA TANZANIA.

Iliyoanza kama safari ya kwenda kutengezeza video ya wimbo wake katika taifa jiraniya Tanzania, imegeuka kuwa safarimuhimu katika swala la mapenzi, kwa msanii wa kike ...
Skip to toolbar