PROFESA JAY ATANGAZA HILI

0

Mbunge wa Jimbo la Mikumi, Morogoro na rapa nguli nchini Tz, Joseph Haule ‘Prof Jay’ amesema licha ya kuwa na wadhifa wa ubunge, bado ataendele kufanya mziki baada ya wabunge wenzake kumtaka kuendelea.

 

 

Prof Jay anasema amekuwa akipigiwa kelele na mashabiki wake wakiwemo wabunge na viongozi wa juu kabisa wakimuonya kutoacha muziki na lazima asikilize nakutilia maanani vilio vyao.

“Muziki ndiyo umelea familia yangu, umaarufu wangu na hiki cheo pia ni kutokana na kile ninachokiimba kwenye muziki. Nilichokuwa nakiimba sasa nataka kukifanya kwa vitendo alisema Prof Jay.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

KOBE BRYANT AASTAAFU BASKETBALL.

Mcheza kikapu nyota wa Los Angeles Lakers Kobe Bryant amestaafu  kuchezea Ligi ya NBA. Kobe mwenye miaka 37 ameccheza mechi yake ya mwisho kwenye ligi ...
Skip to toolbar