P DAY AWASHAURI WASANII WA KIKE MOMBASA

0

Msanii wa mziki wa kizazi kipya kutoka kanda ya pwani P Day amewashauri wasanii wa kike kuweka hadhi yao mbele wakati wanapotafuta nafasi ya kufaulu kimziki.

Kupiti akaunti yake moja ya mtandao wa kijamii, P Day amewakumbusha wasani wakike kutoka kanda ya pwani kwamba kuna maisha mengine baada ya maisha ya kisanii na wanaafaa kutilia maanani maamuzi wanayofanya wakiwa katika safari yao ya kimziki.

pday

“Wadada mnaoimba haswa hapa Mombasa kwetu muwe chonjo na makini sana sababu kama producer kukurecord lazima awe bwana, jiulize kitambo ufikie malengo yako utakua na mabwana wangapi? .. ameandika P Day katika akaunti yake ya Facebook

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar