NICK CANNON ADAIWA KUMDISS EX WIFE WAKE MARIAH CAREY

0

Rapa na mtangazaji Nick Cannon amekanusha kumdiss Ex wife wake Mariah Carey kwenye wimbo mpya wa “Oh Well” ambao mpaka sasa umesikilizwa na watu 37,000 kwenye mtandao wa SoundCloud.

Nick na Mariah wana watoto wawili Morrocan na Monroe na Nick amediss blogs zilisotangaza taarifa hizi bila uhakika.

Nick kwa sasa anaongelewa zaidi ka mwanaume mwenye wivu baada ya Mariah kuvalishwa pete ya uchumba na mpenzi wake ambaye ni billionaire James Packer January ya mwaka huu.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar