Nay wa Mitego afunguka kwanini hamkuchana Diamond wala Ali Kiba kwenye shika adabu yako.

0

Baada ya baadhi ya mashabiki kumzukia Nay wa Mitego kwamba kwanini hakuwachana Diamond na Ali Kiba kwenye wimbo wa shika adabu yako kama alivyofanya kwa wasanii wengine Nay amesema hakuona umuhimu wa kufanya hivyo.

Nay pia amesema kuwa masuala ya Diamond na Ali Kiba yameshazoeleka kwa hiyo hakutana kufanya kitu ambacho watu wanakijua.

“Sitaki kufanya kitu ambacho kila mtu anacho kichwani mwake,kila mtu alikuwa anategemea ningemdiss Ali kiba au Diamond..sikutaka tu,japo kuna vitu vya kuzungumza juu yao lakini havikuwa muhimu sana kama nilivyovitaja kwenye wimbo” alisema Nay.

Source: Clouds

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar