MZEE MAJUTO AZUNGUMZIA FILAMU YAKE IJAYO.

0

Msanii wa filamu za kuchekesha kutoka Bongo, King Majuto amesema kuwa filamu yake mpya ijayo ni zaidi ya filamu zake zilizopita.

Majuto anasema filamu yake mpya ina ujumbe wa kuelimisha jamii kuachana na mambo Ambayo hayana manufaa kwa maisha ya sasa na nimewashirikisha wasanii mbalimbali maarufu.

mzee

Aidha Majuto amefafanua kuwa sababu ya kuchelewa kuiachia filamu hiyo kama alivyopanga ni kutokana na kuupisha mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar