MZEE MAJUTO ASEMA HIVI KUHUSU KUSTAAFU

0

Msanii wa filamu za kuchekesha nchini Tz King Majuto amekanusha taarifa ambazo zilizagaa katika mitandao ya kijamii kwamba amestaafu kuigiza.

Akiongea jana, Mzee Majuto amedai sio kweli kwamba amestaafu kuigiza ila kuna baadhi ya filamu ambazo hatafanya tena.

mzee

“Watu wameniwekea maneno mdomoni, sijasema nimeacha kuigiza,” alisema Majuto.

Hata hivyo muigizaji huyo amesema hafanyi tena standup comedy kwa kuwa wakati anafanya kuna matukio ambayo yatakuwa yanaendelea katika ukumbi ambayo dini yake hairuhusu.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar