MWANAMKE MWENYE NYWELE NDEFU ZAIDI ULIMWENGUNI APATA MPENZI MKENYA.

0

Mwanamke mwenye nywele ndefu zaidi ulimwnguni kwa jina Asha Mandela aka Rasta Rapunzel mwenye umri wa miaka 50 amepata mpenzi mwenye asili ya Kenya.

Asha Mandela ana nywele zenye urefu futi 55 na uzito wa kilo 19 na jina lake liko katika kitabu cha rekodi za dunia cha Guinness World book of Records, kama mwanamke mwenye nywele ndefu zaidi duniani.

Asha alikutana na Emmanuel Chege mkenya ambaye ni saloonist kwa njia ya mtandao miaka 3 iliyopita baada ya kuona nywele za asha katika website.

Aliwasiliana na Asha na baadaye walikutana ana kwa ana baada ya asha kuzuru Kenya miezi minane baadae.

Kwa sasa chege hutunza nywele za asha ambazo zinasemekana kuchukua siku mbili kushwa na kukauka.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

RAY C AGUSWA NA ROSE MUHANDO.

Msanii mkongwe wa mziki Bongo Fleva Rehema Chalamila maarufu Ray C, anaitaka serikali ya Tanzania na wananchi kwa ujumla kumsaidia  msanii mkongwe wa nyimbo za injili nchinihumo Rose Muhando. Kipitia ...
Skip to toolbar