MWANAHARAKATI FRANK 604 WA JUNGLE MASTERS AFARIKI

0

Tasnia ya mziki kanda ya pwani leo imeamkia taarifa za kuhuzunisha za tanzia baada ya kumpoteza mmoja wa wanaharakati wa mziki wa pwani.

Mwanaharakati huyu alifeyefahamika zaidi kwa jina lake maarufu Frank 604, amefariki usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua mda mfupi.

Frank alkua miongoni mwa watu wanaosukuma kazi za wasanii wa Jungle masters na pia msimamizi wa msanii Boston wa Jungle Masters Records.

551275_485070624922239_1327601772_n

Boston (wakwanza kutoka kulia)

Akizungumzia kifo cha Frank, mmoja wa wasimamizi wa Jungle Masters Jos K Madala, amethibitisha taarifa hizi na kueleza kuwa Frank aliugua toka siku ya Jumapili walipokua katika harakati za kutayarisha video ya msanii Ara Stanley “pango la giza” na mara ya mwisho walimjulia hali siku ya jumanne ambapo alidai alikua amepata nafuu.

13934908_10201932796677510_4590520530745789928_n

Boston(wapili kutoka kulia) akiwa na Boston (wakwanza kutoka kulia) Ara Stanley (watatu kutoka kulia) Sis Shanniez na Emmy D (wakwanza kutoka kushoto) ijumaa 05.08.12 Radio Kaya kwa interview

Inasemkana Frank awali aliambiwa na madaktari kwamba anaugua ugonjwa wa Typhoid lakini alizidiwa jana usiku na kukimbizwa katika hospitali ya Likoni ambapo baadayae alitangazwa kufariki.

Mwili wake kwa sasa unahifadhiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti katika hosptali kuu ya ukanda wa pwani Coast General -Makadara.

 

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

NIKKI MBISHI AWACHANA WATANGAZAJI

Msanii wa muziki wa hip hop nchini Tanzania Nikki Mbishi ameonyesha kukerwa aina fulani ya uulizaji maswali katika interview za wasanii nchini Tanzania. Nikki Mbishi ...
Skip to toolbar