JACKIE CHANDIRU AATHIRIKA NA MADAWA YA KULEVYA

0

Wengi wanamfahamu mwanamziki Jackie Chandiru aliyetamba kwa kibao Gold Digger.

Msanii huyu kwa sasa anapigania maisha yake kijijini kwao baada ya majuzi kukimbizwa hospitalini na wasamaria wema kufuatia hali yake mbaya ya kiafya.

jackie

Muonekano wa sasa wa msanii Jackie Chandiru

 

Msanii huyu anadaiwa kutekwa na jinamizi la utumizi wa madawa ya kulevya na kwa sasa athari za madawa hayo zimeanza kuonekana.

Kabla ya kisa cha juzi cha kukimbizwa hospitali, msanii huyo amewahi kufanyiwa upasuaji kabla ya kupelekwa katika kituo kimoja cha kushughulikia watumizi wa madawa ya kulevya.

Japo kwa sasa anaendelea kupata nafuu, picha za hivi punde zimemuonyesha msanii huyo akiwa na makovu na mabato meusi kwenye ngozi yake ya mikono yote.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar