MSANII WA BONGO ADAI BILA YEYE HAKUNA MAVOKO

0

Mwanamuziki wa Hip Hop Bongo Sharif Ramadhani aka ‘Darasa’ anadai bila yeye kumshirikisha msanii wa Bongo Fleva, Rich Mavoko kwenye ngoma yake ya “Kama Utanipenda” angepotea kimziki.

Darasa anasema kuwa Mavoko ni mkali lakini kuna wakati ulifika akaanza kupoteza nguvu aliyokuwa nayo kwenye gemu.

Darasa ameeleza kuwa baada ya kumshirikisha kwenye wimbo “Kama Utanipenda” jina la Mavoko katika game ya Bongo Flavaz limerudi juu.

11

“Sikatai kuwa Mavoko ni mkali, lakini hakuna asiyefahamu kuwa kuna wakati alianza kama kupotea hivi kwenye gemu na mimi ndiye niliyemrudisha tena baada ya kumshirikisha kwenye wimbo wangu, Kama Utanipenda!” alisema Darasa.

Je ni kweli  kabla wimbo wa Darasa “Kama Utanipenda” Rich Mavoko alikua kapotea kimziki?

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || BAWAZIR – BAD GIRL

<<DOWNLOAD/LISTEN NEW AUDIO HIT> ARTIST :Bawazir – Bad Girl: Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy Mwanamgambo  JIUNGE NAMI ...
Skip to toolbar