MSANII MWENGINE KUTOKA PWANI ALENGA KUFUNGUA STUDIO.

0

Msanii Sudiboy Mohamed kutoka hapa ‪Pwani ako katika harakati za kufungua studio yake ya kurekodia mziki.

Kulingana na taarifa, msanii Sudi Boy analenga kufungua jumba la kurekodia mziki na kuongeza idadi ya studios katika ukanda wa Pwani.

Kulingana na msanii huyu, tayari mipango imekamilika na kilichobakia ni kutafu producer na kutafuta jina halisia la studio hii.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

HARMONIZE AFUTA TATTOO YA DIAMOND

Msanii wa label ya Wasafi (WCB) inayomilikiwa na Diamond, Harmonize amefuta tattoo ya Diamond na kuchora tattoo nyingine tatu mpya. Kulingana na picha zinazosambaa mtandaoni, ...
Skip to toolbar