MSANII HUYU ANADAI ANACHUKIA KUITWA MWANAMUZIKI WA KIKE

0

Staa wa mziki Bongo, Vannessa MdeeVee Money’ kwa mara ya kwanza amefungukia kuchukizwa na baadhi ya watu wanaomwita mwanamuziki wa kike.

Vee Money alisema kuwa angependa kufananishwa na wanamuziki wengine wote na siyo kutengwa kwa kuwa mwanamke.

“Sawa napenda muziki lakini kinachoniudhi mara nyingi ni kutofautishwa na kuchukuliwa kama mwanamuziki wa kike. Napenda kuujulikana kama mwanamuziki inatosha,” alisema Vee Money.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar