MSANII ATISHIWA KUPIGWA RISASI.

0

Msanii wa muziki wa UgandaBebe Cool’ ametishiwa kupigwa risasi na shabiki wa muziki aliyefahamika kama Loukman Ali.

Bwana Loukman Ali aliandika mtandaoni kuwa “Ningekuwa na bastola yenye risasi mbili na niko kwenye chumba na Hitler, Osama Bin Laden na Bebe Cool ninge mpiga risasi Bebe Cool”.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar