MR. FLAVOUR APIGA PICHA UCHI.

0

Msanii kutoka nchini Nigeria Mr. Flava amepiga picha akiwa uchi.

Mr.Flava alisambaza picha hizo kupitia mtandao wa instagram ambazo zimewapagawisha mashabiki wake wa kike.

Katika picha hiyo, Mr. Flava ako uchi wa mnyama akiwa ameketi bafu huku akifunika sehemu zake nyeti na guitar analolishikilia.

flava

Je unachukuliaje swala la wasanii na watu maarufu kupiga picha uchi?

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar