Meek Mill Aomba hiki Mahakama.

0

Rapper Meek Mill anaomba mahakama nchini Marekani kumpunguzia adhabu kifungo cha nyumbani cha miezi mitatu.

Meek Mill alihukumiwa kifungo cha nyumbani cha miezi mitatu mwezi uliopita, baada ya kukiuka masharti ya kifungo chake cha awali

1409642777_meek_mill_50

Meek Mill anataka kifungo hicho kupunguzwa ili aweze kuendelea kufanya kazi za muziki katika studio yake ambayo ametengeneza nyumbani kwake.

Meek Mill akitumikia kifungo chichi haruhusiwi kujishughulisha na kazi yeyote ya muziki kwa muda wote wa kifungo chake ikiwemo kurekodi, kufanya shoo na badala yake kutakikana kufanya kazi za kijamii.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar