MADAKTARI WATOA VISU 40 NDANI YA TUMBO LA MGONJWA

0

Madaktari nchini India wamefanikiwa kutoa jumla ya visu 40 toka tumboni mwa jamaa mmoja waliyeamini anaugua saratani.

Kulingana na vyanzo vya taarifa hii, jamaa kwa  jina Surjeet Singh mwenye umri wa 42 alifika hospitali moja kwa jina Corporate Hospital mjini in AmritsarIndia, akiwa na maumivu  ya tumbo wiki mbili zilizopita.

3782F34E00000578-3754143-image-a-78_1471957377888

Madaktari walimfanyia uchunguzi uliobaini kwamba alikua na uvimbe ndani ya tumbo lake, ambao madaktari waliamini wanaweza kutoa kupitia upasuaji.

Katika shughuli ya upasuaji iliyochukua jumla ya masaa matano, madakatari waligundua si uvimbe bali visu vidogo vyenye nchini kati ya 7 – 18.

Singh alkiri kuwahi kumeza vijembe na visu vidogo 28 kufuatia hamu ya ajabu aliyonayo kwa vitu vya chuma.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || SIDE B – MAPENZI

<<DOWNLOAD/LISTEN NEW AUDIO HIT> ARTIST :Side B – Mapenzi: Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy Mwanamgambo  JIUNGE NAMI ...
Skip to toolbar