Leonard Di Caprio aandika historia…..Je kafanya nini?

0

leonardo-dicaprio-the-revenant-1

Muigizaji maarufu wa flamu ulimwenguni Leonard Di Caprio ameshinda tuzo la muigizaji bora wa kiume

katika tuzo za Oscar.

Di Caprio ambaye  ameigiza katika filamu maarufu kama vile Filamu ya Titanic na Blood Diamond, alikua

hajawahi kushinda tuzo hilo, licha kuteuliwa mara tano katika miaka ya nyuma.

Katika tuzo zilizoandaliwa katika jiji la Los Angeles nchini Marekani, Di Caprio ameshinda tuzo hilo

kupitia uigizaje wake katika filamu yake ya hivi karibuni ya Revenant.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar