KUNDI LA MORGAN HERITAGE LA PANGA MAKAO YAKE MAPYA KENYA.

0

Kundi la reggae la Morgan Heritage linasemakana kupata shamba nchini Kenya na sasa linajipanga kuhamia hapa nchini rasmi.

Wiki kadhaa zilizopita, mmoja wa kundi hilo la kifamilia, Gramps Morgan alifichua nia ya kundi hilo kufanya Kenya kama makao yake mapya na kuanza kilimo.

Kulingana na mwimbaji mwengine wa kundi hilo Mojo Morgan, familia hiyo ingependa kupata shamba eneo la Naivasha

Aidha anasema kundi hilo linaweza kununu nyumba nyengine jijini Nairobi na kuifanya makao yao makuu ya barani Afrika

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar