Gor Mahia Yateua kocha mpya

0

Mabingwa wa ligi kuu nchini Kenya klabu ya Gor Mahia wanaripotiwa kumteua José Marcelo Ferreira, kuwa mkufunzi mpya wa klabu hiyo.

Gor Mahia inaripotiwa kutafuta huduma za Ferreira maaruufu kwa jina la “Zé Maria,” baada ya aliyekuwa mkufunzi Frank Nuttall kuihama klabu hiyo.

Ze Maria anatarajiwa kuwasili jijini Nairobi siku ya Ijumaa  pamoja na msaidizi wake huku ikiripotiwa kwamba huenda akatia sahii mkataba wa miaka miwili.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

WANAONYOA KIDUKU WAFANYWA HIVI TANZANIA.

Polisi jijini Dar Es Salaam nchini Tanzania wanadaiwa kuanza kuwakamata vijana wanaonyoa style ya nywele inayojulikana kama kiduku. Kulingana nataarifa katka gazeti moja la Tanzania ...
Skip to toolbar