KIM KARDASHIAN ALIPWA KUFANYA HIVI INSTAGRAM

0

Our Rating

0
Reader Rating: (0 Rates)
0

Wakati ambapo warembo wengi duniani hupiga selfie kuwafurahisha tu followers wao kwenye mitandao ya kijamii, Kim Kardashian anaingiza mkwanja mrefu kwa kufanya hilo.

 

Tovuti ya Page Six inadai kuwa Kim Kardashian mwishoni mwa wiki alilipwa $700,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 70 za Kenya kupiga selfie na mastaa Instagram.

download (1)

Kardashian, alipelekwa eneo la Hamptons nchini Marekani kwa ndege binafsi, na kupiga picha na mastaa kadhaa maarufu katika mtandao wa Instagram kwa mda wa saa moja na akalipwa.

Je wewe unaweza kuwa tayari kulipa kupigwa picha ukiwa na staa gani katika ulimwengu wa burudani?

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar