KENZO ADAIWA KUFANYA HIVI

0

Msanii Kenzo kutoka jijini Nairobi ameshikwa na paparazzi akimtongoza mwanamke mmoja aliyemzidi kiumri.

Huku wasanii wengi wakionekana kushobokea visichana vidogo, Kenzo alinaswa katika picha na mapaparazi akilazimisha kupata namba ya mwanamke mmoja.

Kufikia sasa Kenzo hajajitokeza kuzungumzia uvumi huu uliosambaa kwenye mitandao ya kijamii.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar