KANYE WEST ASEMA HUU NDIO WIMBO WAKE BORA WA MWAKA 2015.

0

Rapa Kanye West ametumia akaunti yake ya twitter kutufahamisha wimbo wake bora zaidi mwaka 2015.

Katika post yake, kanye West ameutaja wimbo wa “What do you mean” wa Justin Bieber”, kuwa wimbo wake bora wa mwaka jana wa 2015.

Wimbo wa “What do you mean” wa Justin Beiber umekutoka kwenye album yake ya Purpose.

Kanye West aliandika twitter “What do you mean by @justinbieber was my favorite song of 2015.

Hii imekuja kama shavu kubwa kwa Justin sababu kila msanii angependa Kanye aseme hivi kuhusu wimbo wake.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

JE NI KWELI AKOTHEE AMESHIKWA NA WAZIMU?

Msanii mkubwa kanda ta pwani Akothee amejitokeza kuzungumzia uvumi uliozagaa mitandaoni kwamba ameshikwa na wazimu. Akothee ameweka wazi kwamba kipande cha video kinachosambaa kikimuoyesha akiwa ...
Skip to toolbar