JUSTIN BIEBER AWAKOSESHA RAHA MASHABIKI WAKE. JE KAFANYA NINI?

0

Mashabiki wa Justin Bieber wana huzuni sababu hawataweza kukutana na kusalimiana naye ana kwa ana kama afanyavyo siku zote.

Justin Bieber amesema kuwa ameamua kuacha utaratibu huo kwa sababu humfanya achoke, akose raha na kumpa matatizo makubwa kiakili.

Kupitia mtandao wa instagram, beiber amesema kuwa anawapenda mashabiki wake lakini watamwia radhi kwani karibuni hatakua akikutana na kusalimiana nao ana kwa ana.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar