JE UNAMFAHAMU NYOTA NDOGO? KAFICHUA HABARI FLANI YA MAISHA YAKE YA ZAMANI.

0

Maisha ya kisanii kwa mwanamziki yeyote wa kike ni magumu ikilinganishwa na msanii wa kiume. Msanii wa kike anapoanza safari yake ya mziki huandamwa na changamoto nyingi zaidi kuliko msanii wa kike.

Kila anayepambana naye akiomba msaada kutoka kwake asilimia kubwa hutaka kuchukua advantage ya hali yake.

Katika tarifa ya kushangaza msanii wa kike Pwani nyota ndogo anadai ameshawahi kujipata katika hali hii.

Nyota anakumbuka kuna mtu alijitolea kumpeleka bongo ili kufanya ziara ya kimziki zamani alipokua akianza mziki

Lakini kama kawaida jamaa huyu alipofika Bongo alijaribu kumgeuka nyota na kumtaka kimapenzi.

Nyota hajamtaja muhusika mwenyewe.

Nyota anadai alisaidiwa na msamaria mwema kumkwepa jombi huyo na keshoye alifanikiwa kurudi msa.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar