HOTELI YA IBUA MBINU HII KULAZIMISHA WATU KUSTAARABIKA KIMAONGEZI.

0

Je, mara ya mwisho kutumia neno tafadhali unapoitisha kitu ilkua lini?

Ama wewe hutumia neno “tafadhali” mara ngapi kwa siku moja katika pilka pilka za maisha yako ya kawaida?

Sasa itakugharimu Zaidi katika hoteli moja eneo la Virginia nchni Marekani iwapo utakosa kutumia neno tafadhai unapotoa order yako kwa waiter katika hoteli moja.

Kupitia bango la bei nje ya hteli hiyo, utalazimka kuto hela zaidi kwa kikombea kimoja cha chai iwapo hutotumia maneno ya ukarimu unapokiitisha.

cofee signs2cofee signs

Kulingana na mhudumu mmoja katika hoteli hiyo kwa jina Billie Byrd, walifanya uamuzi baada ya kugundua kuwa baadhi ya wateja waliofika  hawakujali ustaarbu katika kuitisha walichotaka.

Mhudumu huyo anasema uamuzi huo umeonekana kuzaa matunda baada ya wateja kutilia maanani bei mpya zilizowekwa na kubadili matamashi .

Unadhani hoteli zetu huku kwetu zikiiga mbinu hii watu wengi wanaweza kustaarabika katika maongezi yao?

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar