HIZI NDIO NYIMBO TATU ANAZOPENDA SHA BIGGY KWA SASA.

0

Akiwa kwa mahojiano katika kipindi cha Kaya Flavaz na Sis Shanniez ndani ya Radio Kaya, msanii Sha Biggy kutoka kanda ya pwani amezitaja ngoma tatu ambazo anasema huziskiza kila siku toka alipoziskia kwa mara ya kwanza.

Nyimbo zenyewe ni kama zifuatazo;

  • Ali Kiba & Christian Bella – Nagharamia
  • Tekno – Duro
  • Ruby – Yule

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar