HARMONIZE AFUTA TATTOO YA DIAMOND

0

Msanii wa label ya Wasafi (WCB) inayomilikiwa na Diamond, Harmonize amefuta tattoo ya Diamond na kuchora tattoo nyingine tatu mpya.

Harmonize-tattoo

iliyokua tattoo ya zamani.

Kulingana na picha zinazosambaa mtandaoni, Harmonize  amechora tattoo mpya ya picha ya Diamond, picha ya mamake mzazi na picha ya dini la Almasi.

Mapema mwezi Januari mwaka huu, Harmonize  alichora tattoo ya picha ya Diamond na chini yake akaandika jina la Simba, ambalo anatumia Diamond.

Harmonize anasema bosi wake Diamond ametoa mchango mkubwa sana kwenye maisha yake ya kimziki sababu kuu inayomfanya kuchora tattoo yake.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar