(Listen/Download) NEW AUDIO: DHILLY DHILLY – JAPO KIDOGO

0

Ni August 10 na kama ilivyoku ahadi yake, msanii anayekuja
kasi katika tasnia ya mziki wa kizazi kipya kanda ya Pwani Epher T Dhily Dhily ameachilia kazi yake mpya kwa mashibiki wa mziki kizazi kipya.

Dhily Dhily anayetokea Kilifi, amerekodi kazi yake mpya katika studio za Crack Sounds – Kilifi chini ya produza J Crack Mfalme.

Kujipakulia Bonyeza hapa||DOWNLOAD HERE

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

DIAMOND KUHAMIA KENYA

Msanii Diamond Platnumz kutoka nchini Tanzania amefichua kuwa anafikiria kuhamisha makao yake hadi nchini Kenya baada ya kujionea uungwaji mkono wa kiana yake na mashabiki ...
Skip to toolbar