DMX APATA MTOTO WA 15.

0

Msanii mkongwe wa muziki wa hiphop nchini Marekani DMX amepata mtoto wa 15.

Kulingana a taarifa hizi, DMX mwenye umri wa miaka 45, amekua baba wa mtoto wa 15 baada mtoto huyo kuzaliwa ijuma iliyopita.

334d6de8

Mtoto huyo amepewa jina la Exodus Simmons na Inasemekana DMX hakuwepo wakati anazaliwa sababu alkua studio na Swizz Beatz wakitayarisha mziki mpya.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || OTILE BROWN – NOBODY

DOWNLOAD AUDIO : Otile Brown – Nobody : Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HEARTHIS: Teddy Mwanamgambo  JIUNGE NAMI KUPITIA   Twitter: @BaloziTeddy    ...
Skip to toolbar