DIAMOND ATOBOA PUA?

0

Msanii nyota kutoka Tanzania Diamond Platinumz amevuma katika mitandao ya kijamii baada ya picha moja kusambaa akiwa ametoboa pua.

Katika picha hiyo ambayo inasambaa katika mitandao ya kijamii, Diamond anaonekana akiwa na kipini puani.

Picha hii imezua shutma kutka pande mabli mbali huku baadhi ya mashabiki wakiionekana kuchukizwa nayo.

Hii si mara ya kwanza kwa msanii nchini Tanzania kutoboa pua kwani itakumbukwa kwamba msanii Chidi Benz amewahi kupata shtuma kutoka kwabaadhi ya mashabiki wake baada ya kutooa pua.

chidi

 

Aidha katika ngazi za kimataifa, wasanii maarufu kama Chris Brown, Tupac kutoka nchini Marekani pia wameonekana na kipini aina hii katika pua zao.

chrisbrowntupac

 

 

 

 

 

 

Hata hivyo, ikizungumzia swala hilo, management ya Diamond imekanusha taarifa hizi ikifichua kuwa ilikua njia ya kumsha mashabiki kuendeleza promo.

Meneja wake Sallam amenukiliwa akisemaa kwamba sio kweli Diamond katoboa pua, ni mchezo tu na baada ya hiyo picha ya kutoboa pua Diamond aliweka picha nyingine inayoonekana hana kipini.

 

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar