DIAMOND ANUNUA NYUMBA AFRIKA KUSINI.

0

Mwimbaji mahiri wa muziki wa bongo fleva, Diamond Platnumz amenunua nyumba nchiniAfrika Kusini.

Akikiri ununuzi huo, Diamond Platnumz pia amefichua sababu kuu zilizopelekea uamuzi huu.

Diamond anansema ameamua kununua mjengo Afrika Kusini, baada ya kuona kuwa ana safari nyingi za kwenda huko na pia uwepo wa mama wa mtoto wake Zari, ambaye anatarajia kumpatia mtoto wa pili nchini humo.

 

 

Nimefanya hivyo ili mimi mwenyewe kwanza nipate urahisi wa makazi nikiwa kule, nimechoka kuhangaika mahotelini, lakini familia yangu ipo kule mwanangu Tiffah na mwingine ambaye anakaribia kuja kwa hiyo nawawekea mazingira bora wasijeona kwamba baba anazalisha tu” amesema Diamond.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || SIDE B – MAPENZI

<<DOWNLOAD/LISTEN NEW AUDIO HIT> ARTIST :Side B – Mapenzi: Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy Mwanamgambo  JIUNGE NAMI ...
Skip to toolbar