DIAMOND AFICHUA WALIFANYAJE KUWEZA KU’SHOOT VIDEO NA SIMBA KANDO YAKE

0

Our Rating

0

Ni siku kadhaa zimepita tangu Diamond Platnumz aiachie video ya wimbo wake mpya ambao amewashirikisha P-Square;Kidogo.

Miongoni mwavitu ambavyo vimevutia watazamaji wengi wa video hiyo ni uwepo wa mnyama simba akisimama kando ya Diamond anapoimba.

simba diamond

Diamond amefichua jinsi ilivyokua mpaka wakamaliza ku’shoot scene hiyo.

Diamond anasema ilibidi simba huyo kulishwa nyama nyingi hadi ashibe ili asimtamnai Diamond n kumrukia anapoimba kando yake.

Mnyama gani wa mwituni unogopa zaidi.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar