DIAMOND AFICHUA SABABU YA KUIMBA NYIMBO ZA “KIPUZI”

0

Msanii mkubwa nchni Tz Diamond Platnumz anadai kuwa  soko la muziki wa kimataifa linamlazimisha kuimba vitu vya kipuuzi.

Diamond anadai soko la muziki wa kimataifa linamlazimisha kuimba vitu virahisi na wakati mwingine vya kipuuzi kutoakanana ukweli kwamba melody ndio zinauza kwenye soko la kimataifa kuliko ujumbe.

Diamond amefichua kuwa mara kadhaa wasanii wa kimataifa wamekuwa wakipenda nyimbo zake ambazo yeye mwenyewe anaziona ni za kipuuzi kuliko zile zenye ujumbe mzuri, kitu ambacho kimemfanya awe anafanya nyimbo kwa ajili ya soko la nyumbani na soko la kimataifa.

Diamond-Platnumz

 

“Soko langu mimi lina vitu viwili,kuna muziki wa nyumbani ambao naufanya miaka yote na muziki mwingine wa uongo uongo ili uweze kufika nchi zingine kwa sababu nchi nyingine zinasikiliza melody tu wanataka wacheze kwa sababu hawaelewi tunachoimba.

Aidha Diamond amesema yeye binafsi hapendi kuandika upuuzi ndio maana hua anatoa nyimbo mbili mja ya mashabiki wa nyumbani na nyengine kwa soko la  kimataifa.

Wewe unadhani kitu gani kinafanya baadhi ya wasanii wetu kuto nyimbo za “kipuzi?”

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

NG’OMBE MJAMZITO AHUKUMIWA KIFO

Ng’ombe mmoja mjamzito kutoka nchi ya Bulgaria amehukumiwa kifo baada ya kuvuka mpaka wa nchi yake na kuelekea Serbia kinyume na sheria za wanyama nchini ...
Skip to toolbar