CHID BENZ ADAIWA KUFANYA HIVI

0

Wakati wadau wa muziki wakifahamu kuwa msanii wa Hip Hop nchini TZ, Rashid MakwiloChid Benz’ yuko katika kituo cha kusaidia waathirika wa madawa ya kulevya, inadaiwa jamaa huyu alishatoroka kitambo na sasa yuko kitaa.

Habari zinadai kuwa Chid alitoroka baada ya kushindwa kuhimili mazingira yalikuwepo na akaona bora arudi mtaani.

Chidi-Benz-620x400

Meneja wa kituo hicho, Tumaini Majura amethibitisha kuondoka kwa Chid akiwa bado anaendelea na matibabu na kufichua kuwa Chid aliishi katika kituo hicho kwa muda wa siku 28 pekee.

Inadaiwa  Chid, alikuwa naonesha kuchoshwa na maisha ya kituoni hapo kwani alikuwa anagoma kufanya  usafi na muda mwingi aliutumia kulala na kuandika mashairi huku wakati mwingine akiwahimiza wenzake kugoma katika vitu fulani.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

JUMA NATURE AZUNGUMZIA KIKI KWENYE MZIKI

Msanii mkongwe nchini Tanzania, Juma Nature amewafokea wasanii wenza katika tasnia ya Bongo Flavaz wanaotumia kiki za kugombana na wapenzi katika mitandao ya kijamii kujitengezea ...
Skip to toolbar