Chelsea yabanduliwa kutoka UEFA

0

Matumaini ya klabu ya Chelsea ya Uingereza kusonga mbele katika kinyanganyiro cha kombe la UEFA yalifika tamati, baada ya kulazwa mabao kwa 2 – 1 katika uwanja wake wa nyumbani na klabu ya PSG ya Ufaransa.

PSG iliendeleza ubabe wake kupitia mabao ya wachezaji Zlatan Ibrahimovic na Adrien Rabiot huku Chelsea ikipata bao lake la kufutia machozi kupitia mshambulizi Diego Costa.

PSG ambayo bado ndiyo iliibandua klabu ya Chelsea katika hatua hii msimu uliopita, ilipata ushindi sawia wa mabao 2 – 1 katika mechi ya mkondo wa kwanza iliyosakatwa nchini Ufaransa.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

NIKKI MBISHI AWACHANA WATANGAZAJI

Msanii wa muziki wa hip hop nchini Tanzania Nikki Mbishi ameonyesha kukerwa aina fulani ya uulizaji maswali katika interview za wasanii nchini Tanzania. Nikki Mbishi ...
Skip to toolbar