CHAMELEONE AMZUNGUMZIA UHASAMA NA DIAMOND

0

Msanii mkongwe Africa Mashariki kutoka Uganda, Jose Chameleone amesema hana matatizo na msanii mkubwa nchini Tanzania, Diamond Platinumz.

Chameleone amewatahadharisha mashabiki wasijaribu kumgombanisha yeye na Diamond Platnumz kwani ameona kuna watu wamekua wakijaribu kwa muda mrefu sasa.

chame

Katika siku za nyuma kulizuka tetesi katika mitandao ya kijamii ambapo inadaiwa wawili hawa hawakuwa sawa kwa muda mrefu kutokana na madai ya kuwa Jose Chameleone kuna wakati alimpuuza Diamond baada ya kuombwa kolabo.

Hat hivyo kufikia sasa hakuna aliyewahi kuzungumzia tetesi hizi.

Mbona wasanii wengi huvumishwa kuwa na uhasama na msanii Diamond Platinumz?

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar