Benitez kutua Newcastle…

0

Mkufunzi wa zamani wa klabu ya Liverpool Rafael Benitez, anaripotiwa kuwa chaguo la klabu ya Liverpool iwapo mkufunzi wa sasa wa klabu hiyo Steve McClaren, ataihama klabu hiyo.

McClaren kwa sasa bado anaendelea na mazungumzo na klabu ya Newcastle kuhusiana na maisha yake ya baadaye katika klabu hiyo, kufuatia msururu wa matokeo duni yanayoandama Newcastle kwa sasa.

Benitez aliachishwa kazi na klabu ya Real Madrid ya Uhispania mapema mwezi January, miezi saba baada ya kuteuliwa kama mkufunzi wa klabu hiyo.

Kwa sasa Newcastle inashikilia nafasi ya 19 katika msimamo wa ligi kuu Uingereza ikabiliwa na tishio la kushushwa daraja kwa mara ya pili katika kipindi cha miaka saba.

Newcastle imepanga kukutana na viongozi wa ligi kuu Uingereza kwa sasa klabu ya Leicester siku ya Jumatatu.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

CRACK SOUND KILIFI IMERUDI UPYA

Baada ya kipindi kirefu cha kimya katika tasnia ya mziki kanda ya pwani, record label ya Crack Sound tawi la kilifi imetangaza kurudi rasmi katika ...
Skip to toolbar