Benfica ya fuzu robo fainali UEFA

0

Klabu ya Benfica ya Ureno imefuzu kwa robo fainali ya kombe la UEFA baada kuilaza Zenit St Petersburg ya Urusi kwa mabao 2 – 1.

Benfica ilifuzu kwa ujumla wa mabao 3 -1 kwani iliipata ushindi wa bao moja bila jawabu katika mechi ya mkondo wa kwanza, iliyosakatwa nchini Ureno.

Zenit ambayo inafunzwa na mkufunzi wa zamani wa klabu ya Tottenham Andre VillasBoas, ilikua inalenga kufuzu kwa hatua ya robo fainali kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar