BEEF YAZUKA KATI YA MSANII BOBBY MAPESA NA GODFATHER WA GENGE NONINI.

0

Beef imeibuka kati ya msanii Bobby Mapesa na Godfather wa muziki wa Genge, Nonini.

Uhasama huu unsemekana kutokana na hatua ya Bobby kumdiss Nonini na kundi zima la P Unit.

Kwenye wimbo wake mpya ‘Tuzidi’ akimshirikisha Calvo Mistari’  Bobby Mapesa anasikika akirap  “Nilifyeka mgenge kwa mtoto mzuri  akazaa ile unit saa hii imebeat…”  akimaanisha nonini na kundi la P Unit ambalo lilitengenezwa na Nonini miaka ya nyuma.

Rapa Nonini hakuchelewa kujibu mashambulizi kwa kusema “Unajiitaje Mapesa na hata huwezi kulipa kodi ya nyumba na hata kununua gari?

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar